Happy Birthday Young Master

Happy Birthday Young Master

sweetlady

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
16,967
Reaction score
8,454
A simple celebration, a gathering of friends, here is wishing you a great happiness, a joy that never ends!

May your birthday be filled with sunshine and smiles,

laughter

love

and cheer!

I hope that for every candle on your cake you get a wonderful suprise !

:A S 465:Happy birthday dearest:A S 465:

Wapendwa wana chit chat ,karibuni tujumuike na mwenzetu mpendwa Young Master katika siku yake hii muhimu.....sherehe itafanyika nyumbani kwao jioni ya leo.....samahani kwa kuchelewa kuwaalika mtoto alikuwa bado kuruhusiwa kutoka hospital.....madaktari walishauri apatiwe na chanjo kabisa.....hivi ndio tumemfikisha nyumbani

Kaizer popote ulipo nakuachia majukumu ya kamati zote

Asprin kama kawaida utatulindia mlango

Erickb52 tafadhali shughulikia mapambo

cacico hata kama umemwacha Young Master tafadhali jukumu la kumuogesha mtoto linakuhusu...weka tofauti zenu pembeni na umfanye mwenye furaha walau kwa jioni ya leo tu

King'asti lovely wifi AshaDii is around so naimani hutakosa vile atakuazima ule mchuchumio wake

charminglady, Catherine, platozoom, Ndahani, Blaki Womani, Preta.....nyie mtaelekea jikoni!

Kongosho utapika uji wa mtoto.....huyu mtoto kazaliwa ana njaa sana !

BAK kama kawaida muziki tunakutegemea

ummu kulthum Madame B, gfsonwin, BAGAH mtashughulikia keki ya mtoto......Wapendwa kama mmavyojua sisi sote ni ndugu hivyo kwa ambae sijamtaja haimaanishi kuwa hatakiwi kuwepo.....wengine mnaweza kumwona Kaizer atawapangia kazi za kufanya! Yummy bado ana bed rest hivyo atakuja kula keki tu na kurudi kulala akisaidiana na mumewe kipenzi Mr Rocky

Chit chat oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Karibuni wote

:flypig::flypig::flypig::flypig:​

Last edited by a moderator:
HBD Young Master! be blessed with a long and prosperous life!
 
Ohhhh aise hizi ni habari njema sana
Nilikuwa najiuliza nitakula wapi cake wiki hii kumbe ipo karibu
happy Birthday Young Master
Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na yenye amani tele na uwepo wako hapa duniani ukawe wa heri kwa wengine na ukawe baraka kwa kila anayekuhusu
happy Birthday once again mkuu sweetlady my honey Yummy ana bed rest ya wiki nzima hivyo kipande chake nitampelekea ila nitakuja na Preta ambaye ni shemeji yangu
 
Happy Birthday YM. Ila mie na my wife cacico tunaomba radhi hatutaweza kufika. Leo ndo cku ya kumtengeneza babyboy wetu na tumepanga kwenda kumtengenezea Mikumi ili aje awe mkali kama simba. Tunawatakieni sherehe njema. cacico kam zis wey hun.... We are getting late.
 
Last edited by a moderator:
Young Master may you forever be young BUT wise as the years go by....

Nakuombea Mwenyezi Mungu Mwingi wa Neema akujalie maisha yenye baraka na afya tele!

Wifi yangu mpenzi tunashukuru kwa kutuweka pamoja kusherehekea sherehe ya Kichanga huyu!

:flypig:...Happy Birthday Young Master... :flypig:​
 
Mbona hakuna kamati ya vinywaji? me hiyo ndiyo inayonifaa.........sitaki ya jikoni.

BTW Happy birthday young_master

Thank you platozoom... nadhani kamati ya vinwaji utasimamia wewe. Embu nenda kwa sweetlady atakuelekeza nini cha kufanya ila hamna pombe...ni mwendo wa jusi cola tu.
 
Last edited by a moderator:
Young Master may you forever be young BUT wise as the years go by....

Nakuombea Mwenyezi Mungu Mwingi wa Neema akujalie maisha yenye baraka na afya tele!

Wifi yangu mpenzi tunashukuru kwa kutuweka pamoja kusherehekea sherehe ya Kichanga huyu!

:flypig:...Happy Birthday Young Master... :flypig:​

Weye huyo!?
 
Thank you so much my lovely sister...by the way umeshanilete yure mrembo wangu uliniahidi?
 
Happy Birthday YM. Ila mie na my wife cacico tunaomba radhi hatutaweza kufika. Leo ndo cku ya kumtengeneza babyboy wetu na tumepanga kwenda kumtengenezea Mikumi ili aje awe mkali kama simba. Tunawatakieni sherehe njema. cacico kam zis wey hun.... We are getting late.

thank u babu Asprin...huna hata wosia wa kumuachia mjukuu wako aliyezaliwa leo?
 
Last edited by a moderator:
Thank you my dear sweetlady among all the people sikutegemea kama wewe ndio ungekuwa wa kwanza humu jamvini kuniwish happy birthday. I dont what to say other than thank for all that u have done to me. You will always be my closest friend...you will be in my heart to the very end. thank you for being a part of me...we blended well.
 
Nishaona dalili za kuanza kupaishana uongo hapa! wewe Blaki Womani hivi Mr Rocky anaependa maisha yaliorahisishwa kweli anachanja kuni au katumwa tu alete gas hapa? hahaha!
 
Last edited by a moderator:
Nishaona dalili za kuanza kupaishana uongo hapa! wewe Blaki Womani hivi Mr Rocky anaependa maisha yaliorahisishwa kweli anachanja kuni au katumwa tu alete gas hapa? hahaha!
AshaDii hata mimi nimeshikwa na mshangao aise Blaki Womani kwenda kuchanja kuni tena aise mbona nitazeeka kabla
Itanifanya hata kuchelewa kuja kwenye BD aise Young Master kwani kwako humu hakuna mtungi wa gesi aise tukanunue kumalizia kupika mahanjumati maana hata Preta kasema hawezi kupikia mkaa wala kuni maana hataki aharibu nywele zake
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom