Happy birthday Vincenzo Jr

Happy birthday Vincenzo Jr

Hapana brother
Nilijua tu.

Hangamaga nyandone - ishi maisha marefu kwa kadri inavyowezekana kijana wangu.

Angalizo: mimi ni mzee wa miaka 78 kwa hivyo badala ya kusema nyandone (kijana wangu) pengine nilipaswa kusema ng'wizūkūlū wane (mjukuu wangu).

Anyway, I mean it. Go enjoy your life today; and always - Kigamboni, majuu and everywhere else. Maisha ni haya haya hakuna mengine nyanda! 👊
 
Shukrani sana Babu
 
Back
Top Bottom