Happy birthday Vincenzo Jr

Happy birthday Vincenzo Jr

Mkuu samahani kama ntakukwaza lakini kidume kufanya happy birthday kwa karne hii ya kizazi cha nyoka, tunaomba tu diara usimuuze astafie hapohapo

Mwisho hiyo sherehe bila haszu na kundi lake bado sio happy birthday kamili
 
Back
Top Bottom