Happy birthday Tundu Lissu

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,474
2,649
Wasalaam, kwa jina la mola mtukufu naomba zote km watanzania tukiacha itikadi za vyama na ukada hasa wana ccm wenzangu, tujumuike tumtakie mh lissu happy birthday kwa kunusurika kifo tarehe 7/9/2017. Ni kudra za mwenyezi ndizo zilizomnusuru na umauti, pole sana kaka yangu kwa maumivu unayopitia na majeraha unayouguza mpaka Leo hii 7/9/2019 Allah akujalie uendelee kupona na kupata afya.

Mwisho kabisa nakupa pole pia kwa kuvuliwa ubunge wa kuchaguliwa na wanañchi wa singida magharibi, amini mungu na ukimuomba mkate hawezi kukupa jiwe atakupa maziwa na asali, hutakufa njaa endelea kumtumainia mwenyezi mungu yeye ndie mtetezi wa wanyonge ataendelea kukupigania, kwani peke yako huwezi.

Happy birthday kaka wa taifa mh. TL 7/9/2017!? Bado wale waliotaka kukutoa uhai wako kihuni kabisa wapo na hawajajulika bado na hakuna dalili km siku moja watajulikana. "Aluta .......
 
Aisee wewe ni mwanamke bora kabisa, nimekupenda bureee!!! Hbd Tundu Antipas Lissu, Mungu Akubariki kwa Baraka zote za Rohoni, Akilini na Mwilini na Kusudi la Mungu la kuwa Rais Tanzania likatimie kwa Jina La Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai. ...
 
Ameen.... neno hili lisipite bure ee mola wangu, likatimie.
 
Mungu ni mwema sana. Jina lake libarikiwe. Bado tunamuombea Lissu afya njema zaidi na kurudi TZ salama.

Ni swala la muda kabla watesi wote hawajasambaratika wa njia saba.

Amen.
 
Watu wasiojulikana (daudi arubati bashite)
 
Back
Top Bottom