to yeye

Toyin AdegbolaListen popularly known as Toyin Asewo to re mecca (born 28 December 1961) is a Nigerian film actress, producer and director.

View More On Wikipedia.org
  1. Embe Bichi

    ‘To Yeye’ popote ulipo tambua unatembea na nusu ya moyo wangu

    Pasipo kujali umri wako, Una watoto wangapi, Kuna watangulizi wangapi, Una komwe, Nakuhakikishia, unatembea na nusu ya moyo wangu, fanya hima nipate ukombozi🌹🍎💔
  2. To yeye

    Happy birthday to you To yeye

    Kheri ya siku ya kuzaliwa kwangu, Asante Jehova Asante Mama Asante walimwengu Kwa kunipokea kuishi nanyi. Tuitafute amani sikuzote Duniani tunapita tusijisahau tukalowea kwenye dhambi, Kila kitu kifanyike Kwa kias Tusijione wabora kuliko wengine,maana sote tu wa mavumbini. Mwenyezi Mungu...
  3. Boss la DP World

    Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  4. Kunguru wa Unguja

    Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

    Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na...
Back
Top Bottom