joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Instagram imezalisha watu wa ajabu eti huyu nae celebrity, kisa bingwa wa kuchamba, upuuzi mtupu na baadhi ya vijana wa kibongo nao wanajiweka busy kuwafollow wapuuzi kama hawa.
Nice tits....
hahahaha yapi hayoDemu mzuri ila ana mambo ya kifala sana
Hembu tuone vyakoAnavokaaga kuchamba watu waweza dhani bonge la dem ngoja atupie picha full, vipaja kama sigara
Sio vyangu ni yangu sina visigara mieHembu tuone vyako
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Sio vyangu ni yangu sina visigara mie
[emoji23][emoji23][emoji23]Unapenda sana kufatilia maisha ya watu eeh
Huo mda wa kutaka kunijua mimi unakutosha kufua hata nguo zako za ndani