Mars Rover
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 338
- 140
Mimi bado naimiss hii multitasking
![]()
Hope 2016 wanarudi
Multitasking ya meego hio nokia n9hiyo kitu kaka mkwawa no model name type gani
tupa kule nokia.walitamba enzi zao sasa hawana jipya

Ni kutoka kwenye User Interface hii ya multitasking ndipo Samsung walipoitengenezea TouchWiz multi-tasking unayoiona kwenye Samsung Note na Tab lineup..Mimi bado naimiss hii multitasking
![]()
Hope 2016 wanarudi
Ni kutoka kwenye User Interface hii ya multitasking ndipo Samsung walipoitengenezea TouchWiz multi-tasking unayoiona kwenye Samsung Note na Tab lineup..
Mimi bado naimiss hii multitasking
![]()
Hope 2016 wanarudi
This design was so sexy!Hivi ni kitu gani Nokia alijisahau mpaka akapitwa na Samsung na Apple maana jamaa kwa karibu miaka 14 kama sikosei alikuwa ni market leader kwenye mobile phone.
Nokia hawana management nzuri. Walimchagua steve elop kama ceo wa kwanza wa kigeni (ambae hatoki finland) na alipoingia hizi ni baadhi ya decision alizofanya.
1. Kaiua symbian na kuipa kipaumbele java phone kwenye low end. Nokia akaacha kutengeneza n series na e series na kujikita zaidi kwenye nokia asha ambazo ni ghali kutengeneza na pia hazina lolote compare na symbian
2. Akaiua team ya meego/maemo/meltemi kwenye high-end na kuamua kutengeneza windows phone
3. Kuifanya nokia isitengeneze simu yoyote zaidi ya kujikita kwenye ecosystem ya microsoft
Ukichunguza kwa makini utaona elop alikuwa anaziogopa symbian na meego kama tishio kwa wp hivyo alikua anaishusha thaman nokia ili iuzwe kwa ms
Jamaa wa meego kuskia meego imesitishwa wakaacha kazi wote wakajiunga pamoja wakatengeneza kampuni inaitwa jolla now wana os inaitwa sailfish
Nuance nae akajitoa now yupo android app yao ya swype inaongoza kwa mauzo playstore (nuance ndo mgunduzi wa hio interface nzuri unayoiona juu)
Kuna kampuni nyengine blackberry aliinunua ilijitoa nokia nokia nayo ikadesign bb10
Samsung nao wakaiendeleza meego kupitia tizen.
Microsoft nao wakainunua nokia inayotengeneza simu.
So now nokia imebali na sehemu tatu tu.
-networking
-here maps
-advance technology
Ila hio network ipo vizuri inaingiza around 12-15b usd kila mwaka na tayari wameshanunua kampuni hizi
-siemens (net)
-motorola (net)
-alcatel lucent
Hivyo jamaa wapo vizuri huenda 2016 wakaja kwa kishindo
Haki zote za ovi walipewa opera, ukitaka app za ovi utazikuta operaHivi OVI ilifungwa, nakumbuka ni mwaka juzi nilikuwa natumia ovi kwa nokia 2730c. Ndipo walipoanza kutangaza mpango wa kufunga ovi, na kila mtu afanye backup ya vitu vyake alivyoweka ovi kwa sababu ovi itapofungwa data zitatokomezwa. Hatimaye wakaifunga ovi