Amina sana mpendwa wangu. Maneno yako na yakapate kibali mbele za MunguHappy birthday my dear KOKUTONA
Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na amani na ukapate raha ya maisha na ukaongozwe pia katika kila unachokifanya
Mungu akujalie ya umande wa mbinguni kama Jacob
happy birthday once again
Dada yangu KOKUTONA HONGERA SANA kwa kufikia siku ya Leo, Hakika Mungu ni EBEN-EZER na ataendelea kuwa, kwa maana ndiye Yeye Yule jana leo na hata Milele.
Nikutakie maisha marefu yenye kila aina ya kheri na mafanikio ya kimwili na ya Kiroho hata ukawaone mana na wajukuu wa wana wako.. Mungu aendelee kukuonekania katika yote unayoyaendea kadiri ya kusudi na mapenzi yake mema kwako (Jer 29:11 - Mungu anakuwazia yalio Mema Siku zote)
Happy Birthday!!!!!
kata keki tuleee....uzee unakukaribiaThank u
Maneno yako mazuri sana. Hakika yamenipa FARAJA na nguvu ya kusonga mbele after this special day.
Be blessed my dear friend.
Thank you