Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,078
- 25,040
Huu mkao uwe makini zawadi yangu natembea nayoSawasawa,. Nimekaa mkao wa kupokea hapa
Happy birthday Lee
mshamba_mwingine
Huu mkao uwe makini zawadi yangu natembea nayoSawasawa,. Nimekaa mkao wa kupokea hapa
Imeshapita tangu 6/7Kumbe kwako nako tutakula keki?
Kabisa mpwa.Pole sana...!! Sema nini, JLW limetutenganisha ujuwe..!!
Uishi miaka mingi rafikiImeshapita tangu 6/7