It is my duty lovie. So it behoves me to do what you want wife material.U killed it baba..thank u very much for caring darling...u are such a......you know what i mean right..i cant explain wallah.ninakushukaru I mean it
Shunie, mtoto wa Tabata kwema?Happy birthday to u mamy
Yesu akutunze
Nipo mama angu tunapishana tu
Nimekosa cha kukujibuKwani Yesu ndiye mume wake?
AbeeehShunie
Hahahaa acha woga ww ebu njooShunie, mtoto wa Tabata kwema?
Hivi bado kule MAKAPUKU ule mfumo unaendelea au haupo nije?
Christian 💯 %
Asante miss financial servicesHappy belated birthday to you all, Mungu awajalie umri mrefuu
Karibu mtoto mzuriAsante mkuu
Naomba kumfahamu huyo pacha wangu kwenye avatar plz
Legends are born on June... Happy birthday to youNi siku nyingine tena na mwaka mwingine tena ninazidi kumshukuru Mungu kwa baraka na utajiri wa afya njema na uhai
Sifa na utukufu ninakurudishia ee Mungu mkuu.
Happyto me.