Her yakuzaliwa mkuuu.........Hey y'all...
Inachukua muda gani mpaka mtu uanze kupostiwa thread za happy birthday humu au ku🙈🙈😅😅.
Anyway Namshukuru Mungu kwa rehema zake leo nimtimiza miaka 30. It was a long journey Kwakweli. View attachment 2256140
Jamani ningekua Arusha tungefanya kitu. Ila kwasasa niko Dar my dearAhsante sana my dear Valentine. Nasubiri Zawadi kutoka geneva sasa![]()
Ooohhhpppsss itakua labda.