[emoji16][emoji44] umenifahamu??. Kweli wastahili pongeziii. Nikaribishe nije kula keki.Thanks so much QD
Karibu! Mie ilikuwa jumanne.Aahsante sana ma-pacha wangu. Wewe itakua lini👀
Nimeghairi maana nishamuona kumbe yupo na anafatilia mtiririko..😂As you wish pal
Mh weirdSijui....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Shukrani 🙏 ndo tunaukimbilia utu uzima sasa. 😂Happy belated birthday Ma-pacha wangu.
OkayBasi itakua nimekosea asee...
Hahahaaa. Ndio ndio 💃💃 yaani sisi wote tumezaliwa tarehe moja na mwezi mmoja.Watu mmeendelea hadi mnamapacha humu🏃🏃
Mpo vizuri