Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,936
- 236,490
Ah afu kumbe jirani yangu jamani wa Malamba mwishoNipo mbezi mwisho malamba mawili huku karibu na kifuru.....ninavyopenda keki sasa
Pole yake ndio keshakupotezaHuyu kuna siku alishawahi kuniwashia moto mahali sina hamu nae.....bora kaka yangu Intelligent businessman yupo na mimi kwenye shida na raha
We endelea kujichanganyaWe kenge maji Kama vipi tuandae pambano la vitasa ili niku funze adabu mwehu wewe.
Uta pasuka mpaka meno yako uya one jf🤣
Ndio hao matajiri hutawawezaKumbe ni dadake Elon Musk
Hao ni matajiri wa kwenye PDF waje huku fieldNdio hao matajiri hutawaweza
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro maxNdio hao matajiri hutawaweza
BomboclaatHao ni matajiri wa kwenye PDF waje huku field
Uhalisia n matajiriHao ni matajiri wa kwenye PDF waje huku field
NGwengweKumbe ni dadake Elon Musk
Njoeni tuzisakeBomboclaat
Oya Kama una nimudu si uombe tupambanishwe, niku nyuke niku gonge vikombe niku tapishe.We endelea kujichanganya
Waje huku tukusanye mzigo wa nafaka tupeleke kenya kabla ya border ya Namanga haijafungwaUhalisia n matajiri
We zisake, mimi nategaNjoeni tuzisake
kumbe una sikilizia mpaka wa namanga, wenzio tuna ibukia mpaka wa Rwanda kupitia kahama.Waje huku tukusanye mzigo wa nafaka tupeleke kenya kabla ya border ya Namanga haijafungwa
Mpaka ufike hatua ya kuweka mtego maana yake ulishazipataWe zisake, mimi natega
Mnapeleka mchelekumbe una sikilizia mpaka wa namanga, wenzio tuna ibukia mpaka wa Rwanda kupitia kahama.
Congo- dagaaMnapeleka mchele
Ushindwe wewe tu.Congo- dagaa
Mchele - Rwanda, congo
karanga - hizi 2 month ago nili kuwa nafanikisha hilo.
Kuna mbegu za maboga
Mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max, nimesha shindwa tayari.Ushindwe wewe tu.