ASante sana kaka yangu.....heee zawadi ya wifi unaonaje ikawa ya mwakani mwaka huu tuangalie zawadi nyingineππππHappy birthday to you sister trudie, wish you the best moments na moyo wa kuhimili na kushinda changamoto kwenye maisha yako.
Zawadi nitakayo kupa ni kuku tafutia wifi.