Kuwa na akili acha utoto alexWashkaji zangu walitangulia mbele za haki nilio kua nao we hutaki nimshukuru mungu hiyo ujerumani unayo ishi ni hii nayo ijua au, mana ni empty kabisa Yani huna sifa za kuishi njee, au uko chato hapo unatuzuga mkuu, eehh sinina kuuliza?
U Famous Me Enyewe Siupendii Aseee... UmenigusaKunako. Sister AbigailI hate to be famous
Halafu ulisema unaimba muziki?
NENONakushukuru mwenyezi mungu mwingi wa Rehman mwenye kurehemu.
Nawashukiru wazazi wangu kwa kuwa sababu ya mimi kuwa hapa leo hii.
My short diary.
Kidogo tu 4057EWURA wametangaza bei ya mafuta mpya allo.....
True,Mtot wa kiume kusheherekea birthday ni ........View attachment 3685798
Bado ni mtoto hata hela ya boxer anapewa na mama kwanini asikumbuke siku ya kuzaliwa, wakati utafika hata hiyo mambo haipo labda watoto wake ndo watamkumbusha birthday zaoMtot wa kiume kusheherekea birthday ni ........View attachment 3685798
Kifo cha dogo mMoja kiliuma sana alienda mwanza kufanya KAZI ya kuuza duka kwa bro hivi wa kitaa chetu hapo geita, dogo alipo fika life lili change maisha mazuri sana, badae inasemekana aliacha, akaingia mtaa mawasiliano na ndugu yaka kataa, muda sana walipoenda kumsakia mwanza wakamkosa badae akapatikana akiwa amelala kibarazani na machokoraa kakonda kaisha, ndio kumbeba dogo alipigania sana uhai lakini ndio hivo too late mungu alipanga aondoke maumivu sio ya kawaida kaka, kwanini nisimshukuru mungu vita nilivo pigana nikisimulia hapa mtaliaSo Sad Aseee .... Pole
Sure broTtue,
Men measure life in progress not dates,
A new year is not about Cake,It's about whether they've grown,Improved or Achieved.
Pole sana kaka. Hii ni aina ya maumivu ambayo ni vigumu kuyaeleza kwa maneno. Mungu amjalie rehema marehemu na awape nguvu ndugu zake. Ulichopigania kwa ajili ya uhai wake hakikuwa bure, ulifanya sehemu yako kama binadamu. Hakika maisha yana mambo mazito sana.Kifo cha dogo mMoja kiliuma sana alienda mwanza kufanya KAZI ya kuuza duka kwa bro hivi wa kitaa chetu hapo geita, dogo alipo fika life lili change maisha mazuri sana, badae inasemekana aliacha, akaingia mtaa mawasiliano na ndugu yaka kataa, muda sana walipoenda kumsakia mwanza wakamkosa badae akapatikana akiwa amelala kibarazani na machokoraa kakonda kaisha, ndio kumbeba dogo alipigania sana uhai lakini ndio hivo too late mungu alipanga aondoke maumivu sio ya kawaida kaka, kwanini nisimshukuru mungu vita nilivo pigana nikisimulia hapa mtalia
Basi kama ni hivyo sawaBado ni mtoto hata hela ya boxer anapewa na mama kwanini asikumbuke siku ya kuzaliwa, wakati utafika hata hiyo mambo haipo labda watoto wake ndo watamkumbusha birthday zao
Ni maisha tu dada angu, ninejaribu Kila njia kuanzia biashara nk, nmefeli umasikini nauchukia sana nikaona nitumie kipaji nilicho pewa na ndio hicho sasa mziki unafikiri nifanye nini sasa?I hate to be famous
Halafu ulisema unaimba muziki?
Hivi huyu ni Fid Q? ππMtot wa kiume kusheherekea birthday ni ........View attachment 3685798
ni jambo la kumshukuru mwenyezi mungu kwa kukuchagua kua hapa ulipo leo hii sio kwa uwezo wetuAsee nashukuru sana mungu Iko hivi wale madogo wenzangu nilio kua nao benet Yani majirani wa kiume tumebaki wawili tu wengine washa tangulia mbele za haki wakiwa wadogo hata 20s hawakufika
HapanaHivi huyu ni Fid Q? ππ
Amefanana naye, sijui we unaonaje.Hapana