Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,177
- 34,444
- Thread starter
- #101
aaamyn thumma amaaynHappy Birthday my lovely Madame s, mungu akupe maisha marefu kama umbali wa ardhi na mbingu akupe miaka mingi kama maji ya bahari yote hayo yaendane na hekima, ucheshi na kumcha mwenyezi mungu
ubarikiwe sana ndugu yangu,