Happy birthday to me madame s

Happy birthday to me madame s

Happy birthday Madame S nakupendaga we mdada ningekuwa kidume ningekuwa nakusumbua PM hadi basi[emoji125] [emoji125]
 
Happy birthday Madame S nakupendaga we mdada ningekuwa kidume ningekuwa nakusumbua PM hadi basi[emoji125] [emoji125]
jamaniiiii asante Khantwe hahahhaha asante tena na tena kwa kunipenda had nimeishiwa cha kusema nacheka tu hapa hahhahah jamani ubarikiwe mnoo, nakupenda pia Khantwe
 
Happy birthday mamy... Mungu akutunze, akupe miaka mingi, malengo yako yakatimie na uwe na furaha milele!!!!
 
Happy belated bday to u..

Abundant blessings to u mpendwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom