happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
Duh' Nyamayao upo mamie? Nimefurahi kukuona tena katika siku yako spesheli. Hongera sana kwa kusongesha mwaka mmoja mbele... Mwenyezi Mungu akuneemeshe, kukubariki na kukuwezesha na kukufikisha pale utakapo huku akikujaalia maisha marefu yenye furaha tele!
May you have a wonderful BIRTHDAY
:A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:...Happy Birthday... :A S-rose: :A S-rose: :A S-rose:
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
nipo mpendwa, majukumu tu yanatupishanisha humu, nashukuru sana sana, be blessed!
Happy Birthday sweerieeeee.........
View attachment 70432
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....
Basi tushukuru kwa siku hii kukuleta... Inabidi nitume copy kwa waweza sherehe kuja ungana katika sherehe...
cc to;
sweetlady, King'asti, gfsonwin, Kaizer, MwanajamiiOne, The Boss, Mentor, Dena Amsi, Judgement, Madame B, RR , TIMING, Chauro, Mtambuzi, Young Master, Mamndenyi, Kongosho, Michelle, Lizzy, Mwali, Kaunga, Dark City, Zion Daughter, Ndahani, Kimey, Blaki Womani, PakaJimmy...
Kwa sasa hao wanatosha na tutaomba waite wenzao... Lol.
Kuwa na siku njema mamie... Pamoja saana.
jamani hiyo keki wewe andika happy birthday to bila kanamba, hahaha (kidding)...30 yrs old my swir.