Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Heri ya kuzaliwa mkuu,
ila hiyo 666 lazima ichape kwenye paji la uso wako ili uweze kuhudumia mkuu.
Kila la kheri dear.
Mamndenyi umeamkaje ?
Afu wewee! Unajifanya ndege mwerevu sana eeeh ?
Unanikwepakwepa tu eti ?
Nilikunasa siku ile ya msuto wa Bashaija, ukajifanya uko busy na usutaji , ndiyo kusema ile siku ungekua safari Suto lingeahirishwa?
Nway kua na mchana mwema.