Acha kutongoza mbele ya mtoto lol
TANMO usimsikilize PakaJimmy ameanza majungu yake!Hii mpya sasa,, Heu ngoja nikachukue vitendea kazi vyangu huenda nikapata Cover Story hapa...
Pacha sweetlady hebu njoo ukubali ama ukanushe hii habari.
dogo unavisa wewe!? Khaa!
happy birthday ajuza maana huku wote tumeambiwa ni vikongwe