Happy Birthday Superman!

Imetulia pasco. Happy New Year yo you too. Kama vipi nakutakia faya njema 2013!
Kumbe besidei yako ni sherehe ya kitaifa, yua are dam laki man ndio maana wewe ni supamani na ni supamani kweli!, kuzaliwa tarehe moja sio mchezo!.
Ollu the besti!
P.
 
Kumbe besidei yako ni sherehe ya kitaifa, yua are dam laki man ndio maana wewe ni supamani na ni supamani kweli!, kuzaliwa tarehe moja sio mchezo!.
Ollu the besti!
P.
pasco upo huonekani ?
 
Happy birthday Superman pamoja na Happy New Year. Mungu akupe kila la heri katika kuuanza mwaka mpya wa maisha yako
 
Last edited by a moderator:
ZD walaaaa mimi sina. Nilikuwa nakipamba cheo cha Mjumbe wa Kamati ya Wazazi baada Nyani Ngabu ya kusahau majina yake mengine!
Unamuonea Ngabu jamani wala hana makuu.. Ngoja tukuletee zawadi ya pampasi ili utulie..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mkuu Superman, hongera zote kwa mipigo mitatu

1. Mwaka Mpya
2. Siku ya Kuzaliwa
3. Jubilei ya Ndoa
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana @Suprman
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…