Happy Birthday Sosoliso........!!!

Happy Birthday Sosoliso........!!!

Paloma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Posts
5,331
Reaction score
4,956
romantic-happy-birthday-quotes-for-husband-i8.gif

A very happy birthday to my love, my friend and the sweetest cc ozzbend ever, babe sosoliso!

Mwenyezi Mungu akujaalie maisha yenye furaha na amani, upendo na baraka tele!

babe sosoliso! keki yako hiyooooo..................enjoy
birthday-love-chocolate.jpg

ila usile peke yako utaoza meno...maana ni tamu sana........

kopy kwa Arushaone Mtambuzi kiwatengu akidukuana na shansarie, binamu nyama haramu Mr Rocky, mpwa Elli Washawasha figganigga Bujibuji wa mtaroni, babu Asprin - mbony shafo asprooo, hommy Kaizer Nivea - mhhh tafadhali usiende kudowea keki! watu8 Madame B na saccos yako amu Arabela KOKUTONA miss ladydoctor ladyfurahia bro Mentor......... na wapendwa wooote.........mahasimu saudari Safari_ni_Safari ruttashobolowa nyie mtajiju sie tunahesabu miaka tuuu..........

na wana cc wengine ambao sijaweza kuwataja! karibuni kumpongeza babe sosoliso!
 
Last edited by a moderator:
:bored::bored::bored::bored::bored:

Mtu hata cheti cha kuzaliwa hana atakuwaje na birtday Paloma?

:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:
 
Last edited by a moderator:
Mpwa wangu Paloma nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa hizi baada ya kuutambua ukweli kuwa Mpwa wangu na shenmeji yangu Mpendwa sosoliso amepunguza tena siku za uhai wake! Siioni furaha bali roho inaniuma I wish tungeziita jina jingine maana ndio hivyo tunazidi kusogea kaburini, hahahaaaaaaaaaa nawapenda wote Happy Birthday Mpwa
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday shem sosoliso Mungu akupe afya njema na uimarike zaidi katika kazi zako ziwe za mafanikio
ila usipende kubadilika badilika like this :A S 2152: pokea kazawadi kako kadogo ka kumbukumbu ya kuzaliwa kwako bestito

mr bin.jpg

Je unataka nawe shem nikuchore kama huyu mchekeshaji?

halafu bestito Paloma kwanini unakuwa na utani unaopitiliza weye mamito sasa ndo nini kutype hivi miss ladydoctor ladyfurahia bro mentor......... na wapendwa wengine..... Punguza baby hivyo vituko vyako.
 
View attachment 121137

bestito hahahhaaa..........unajua ulikuwa wii wangu wa ukwe'he sema sjui lishetwaini gani likapitamo!

haya tuache utani! namie naomba unichoree.............
 
:bored::bored::bored::bored::bored:

Mtu hata cheti cha kuzaliwa hana atakuwaje na birtday Paloma?

:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:

@safari_ni_safari hii signature nimeipenda............"C'est Toi Que J'aime, Et Pas Un Autre Et J'ai Fait Mon Choix, Je Sais Pourquoi" mais je dit que l'amour n'existe pas!!
 
sijui kwanini bestito mambo yameparaganyika kiasi hicho hata mm sielewi
hebu tuachane na nayo
Usijali bestito ngoja nianze sasa kukuchora
wewe uko hivi sijui kama unapenda shostito

cartoon paloma.jpg
je umependa hii picha bestito?

bestito hahahhaaa..........unajua ulikuwa wii wangu wa ukwe'he sema sjui lishetwaini gani likapitamo!

haya tuache utani! namie naomba unichoree.............
 
Paloma asante sana kwa kuniita sosoliso happy Birthday bana
Mwenyezi Mungu akujalie kila jema katika maisha yako na akaongeze siku za maisha yako na zikawe za baraka na furaha
happy birthday once again mkuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom