Happy birthday Smart911

Inapendeza!
 
Na haya ndiyo maneno ambayo mwanaume yeyote akiambiwa kichwa chake hakiwezi kukaa sawa kwa wiki moja maana setting za kichwa zinatikisika ni maneno matamu ,makubwa ,yenye radha isiyomithirika .

Happy birthday Smart911 ila katunze hako kamama kama boni yako aisee

Anyway mwanamke mmoja single atokee aseme maneno mazuri kuhusu mimi hata kwa kusifia umbo la mwili wangu huu wenye kitambi kikubwa ,uwalaza mpaka kisogoni na mfupi kama chalamila na mweupe kama Ally happi.
 
Mimi naanza kwa kuongoza msafara wao watakaokuja huko nyuma, napenda sana kitambi chako cha kufutia simu, usiwe tu na madoa kama ya chalamila utasema anazimiaga sigara usoni
 
Mimi naanza kwa kuongoza msfara wao watakaokuja huko nyuma, napend sana kitambi chako cha kufutia simu, usiwe tu na madoa kama ya chalamila utasema anazimiaga sigara usoni
Akusikie uone kama haujalikimbia jiji .
Nikamkumbuka dogo mmoja wa mjini kati mbeya alimtongoza mdogo wake kipindi hiko kaka ni RC ,saa ngapi mwamba asinyee ndoo huko gereza la ilembo kila akiulizwa babu vipi wewe kuwepo hapa anasema nyege kaka 😀😀

Mimi mfupi kama yeye ila madoa sina na akili nahisi zangu ziko timamu kabisa
 


Waliosoma shule ya vidumu tuwapishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…