Mkuu una uhakika Mimi na mama ndege ni wapenzi? πNilikuwa naona mnatagiana kila nyuzi maybe nikasema mtu na rafiki ake ko labda ule ushoshti
Asa Kuna siku nikaona nyuzi ya happy birthday mahondaw, nikapigwa na butwaa Kali sana
Ndo nikajua ni wapenzi kama mfuaji na Mama Ndege
Aseeh mzeeke kwa pamoja wazee wa kazi,Bwahahahahaha!!!
He's a man a woman could wish to be with. He's the best man everrrrrrrr ππππππππ
Nampenda mpaka basiiiiiii!πΊ
Ni wapenzi wakubwaMkuu una uhakika Mimi na mama ndege ni wapenzi? π
Angel Nylon kumbuka 'sumu hailambwi' na pia 'muonja asali haonji mara moja' mpaka agongwe na nyuki.ππππ!
Smart911 anakwambia woga wako ndio umasikini wako!!
Try him ufurahie maishaaaa mamaaa Smart hanaga uswahiliiiiii hanaga blah blahππ€£
Angel Nylon kajinasibu yeye ni mtu mzima, tena shangazi, ina maana ameshakwepa mishale mingi sana, usimuogopeshe...Angel Nylon kumbuka 'sumu hailambwi' na pia 'muonja asali haonji mara moja' mpaka agongwe na nyuki.
But still you can do it for your own risk!
Hahahaha.. Akuje akujee nguvu zipo resource zipooππAngel Nylon kumbuka 'sumu hailambwi' na pia 'muonja asali haonji mara moja' mpaka agongwe na nyuki.
But still you can do it for your own risk!
Hii ni noma sana πNi wapenzi wakubwa
πΉπΉπΉ Kweli humu tupo wanaume tu..!!Huwezi amini mpaka siku naona watu wanasema ni wapenzi nikashtuka maake nilijua humu ni wanaume tuu π
Watu wazima ndio wazuri love kwanza wapo matured enough sio vile vitrotroππ€ππAngel Nylon kajinasibu yeye ni mtu mzima, tena shangazi, ina maana ameshakwepa mishale mingi sana, usimuogopeshe...
Aje athibitishe kama yeye ni mtu mzima kweli, anahisi simfahamu haahaha Angel Nylon njoo uthibitishe...Watu wazima ndio wazuri love kwanza wapo matured enough sio vile vitrotroππ€ππ
Enjoy life to the fullest kipensiiiiiiiiiiπππ
Hatari π₯Anafaidi kweli kuna siku bimdasha alipost picha yake hapa...aisee ana litako lizuri sana
Akithibitisha nitagggπππ!!Aje athibitishe kama yeye ni mtu mzima kweli, anahisi simfahamu haahaha Angel Nylon njoo uthibitishe...
Ndio hapo sasa.... Smart911 nitampa binti yangu mmoja huyu awe mkwe wangu tena ndio atalea mwenyewe na Mahondaw atapata msaidizi πAngel Nylon kumbuka 'sumu hailambwi' na pia 'muonja asali haonji mara moja' mpaka agongwe na nyuki.
But still you can do it for your own risk!