Happy Birthday SIZINGA!!

Happy Birthday SIZINGA!!

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,541
Reaction score
7,372
Ngoja tu nijipe promo mi mwenyewe!! Ndo hivyo tena, ilikuwa pale OCEAN ROAD HOSPITAL miaka flanist iliyopita katoto kalilia ng'aaa, ng'aaaa!! huku kikila kiupepo cha pwani kilichochanganyika na kaharufu ka chumvi na shombo flani.

It is Me, I & Myself.......!! THANKS GOD FOR ALL YOU HAVE DONE TO ME!!
{Nitarudi bidae kugonga likes!!}

happy-bunny-invitations.png
happy-birthday-1.gif
 
Wow.....its you leo eeh....hongera sana....HAPPY BIRTHDAY SIZINGA
 
Happy birthday mpendwa SIZINGA.... Mungu akupe maisha marefu yenye furaha, amani na upendo siku zote!
 
Ahsante sana wakubwa!! tupo pamoja!!
 
Happy birthday SIZINGA.......Mwenyezi Mungu azidi kukujaalia kila lililo la kheri maishani mwako!!
 
hongera sana mkuu.karibu sana hapa hongera bar tufurahie huku tukicheza pool table.mia
 
Happy birthday sizinga. Wapi tunakata keki? Kishushio changu azam cola.
 
The good about your BIRTHDAY Kuangukia leo ni kwamba it is a WEEK END
hivo you can give your self some "ME" Time....
Hongera saana kwa kuweza tena ona Mwaka....
My prayers to you to the Almighty ni kua akuwezeshe uwe
na Maisha Marefu ya Amani na Upendo....


😛oa......HAPPY BIRTHDAY SINZIGA......😛oa
 
Happy birthday sizinga. Wapi tunakata keki? Kishushio changu azam cola.

wewe mtoto mbaya hatukukaribishi usije ukatuharibia shughuli.kwa sababu mdomo wako umechongoka kwa ajiri ya kutukana watu.wewe ukija hata pipi hupati coz una tabia mbaya.
 
Happy Birthday Mkuu.
Kila la heri unapoanza mwaka mpya katika maisha yako.
 
Asanteni wote kwa kunikumbuka!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom