Happy Birthday Sir; Pdidy

Happy Birthday Sir; Pdidy

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,848
Namshukuru mwenyezi mungu mjaza neema ndog ndogo na kubwa kwa kutupa mwenza wa kauutkumbusha kama kuna hbday ilikuwa saa kama ya leo mida kama hii mama mzazi alipoenda kukimbilia mwanyamala akaambiwa awawezi wakamwaisha aghakhan basi dk kipenzi aitwae shafiii..sio shafiii dauda akaona kijinias kimechungulia ndipo akaamua kukatoa dunian na leo kanaikimbiza dunian
nashukuru kwa mke wangu kipenzi alienikumbusha leo bday yangu na zaidi ya yote alieumba nokia za tochi kwa kuniwezesha kunijulisha kwenye reminder saa tatu nikiwa ofisni babaddidy bday yako s,shukran zaid kwa mod na ndugu zangu wote tunaoendelea kulisukuma gurudumu na kuwa na hamu ya kuelekea mjengoni kama sio kule magogoni inshallaha mungu atatujalia ,,shukran kwa mama kipenzi mzazi wa didy na mumewe walioona kuna umuhimu wa kijana kutimiza miezi tisa nieone dunia nasema hivi maria stopes inanuka maiti za watoto laiti angesema anizalie kule pengine wangenipeleka kuzimuwale madk

shukran zaidi ziwaendee wale wote wenye mapenzi mema mwanangu kipenzi faith-g ,za pekee asha-d familly na wengine wote ujumbe
kila aliezaliwa sharti awe na bday
nawatakia maisha mema yasiyo magumu na kama magumu basi muionje pepo siku yamwisho
 
Hongera mkuu!
Tunaungana na wewe kwenye kuadhimisha hii siku kubwa!
 
Happy Birthaday Pdidy..hongera sana, na pole pia wakati unazaliwa sipati picha mama anatoka Mwananyala Hospital mpaka Aghakhan.
Ahahahahah!!
 
Mkuu pole sana, umetuma post tangu saa sita lakini hadi sasa umepata hongera zisizozidi kumi.
 
Hivi Pdidy ni Mhandisi wa nini?
Kila la heri kijana
 
Swahiba nakutakia afya njema na furaha nyingi maishani mwako.
 
Happy Birthday Pdiddy

5869.gif
 
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu na mema mkuu.
 
Pdidy... Hongera saana kwa kusonga Mwaka zaidi..
Na nakuombea kwa Mwenyezi Mungu uwe na Maisha
Marefu, Mazuri na yenye Mafanikio... Be Blessed.

:eyebrows:...HAPPY BIRTHDAY...:eyebrows:
 
Mkulu Pdidy

Happy birthday ....nakukubali sana kwa mada zako za MMU,,,, mkuu upo juu mno. uwe na maisha marefu zaidi, na ujaliwe rehema ndogo ndogo na kubwa kubwa Inshallah
 
Back
Top Bottom