mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,354
- 23,084
Mi hapana roho itaniumaHahahahah we hutaki
Mi hapana roho itaniumaHahahahah we hutaki
EeeehhhMtagi shunie
Mbona vigelegele tenaWoyoooo
Kitenge changuu
Ndo nikusamehee... Love you more Shunie!






Nimecheka kwa sauti hivi kumbe nadaiwa kitenge eeenh wax sh ngapiii ukoHahaha hahaha hahahaNa ashindwe kwa jina la Yesu
Upooo humu humuUko wapi huo
Hahaha hahahaHuo si mkono unaonekana hebu vaa miwani uangalie tena
Hahhaha ngoja aungeJamani jamanii
TofautiSi ndio hukohuko bwana
Unajisahaulisha eeehDada akee shunie ni upi huo
Eeeh muulizeSakayo
Hahaha hahaha hahahaSio mimi huyo, acha ramlii
Eeh si ndio huohuo mkonoHahaha hahaha
Mie naona mkono wa kiumee
Hahaha hahaha hahahaHahhaha unatafuta ugomvi eenh
Asante sana mpenzi barikiwaHizi nyuzi nyingi hii inaonyesha ulivyo mpendwa..
happy birthday mrembo wangu.Mungu akuongezee hekima busara na upendo

Anao kumi kidogoWe dada yako ni nani humu?