Kitambo tu mkwe,niko mjiniKwani umesharudi
Nimekumiss mchuchu nani amekuteka hivi
Eeeenh kumbe napitwa hivi
Li nchi lenu hili mchuchu na life yake tyt mbaaya
MuhimuuInabidi tukomae hivyo hivyo mchuchu
😄😄😄😄 aina hii yaukaribishaji unamajibu yote yaliyofichikaNjoo huku
Sio nakugeuzia kibao jamani mm nikitoka kwenye jiji la bashite nipo tanga kwetu usinifanyie hivyo insta babe



