Happy Birthday Sakayo

Happy Birthday Sakayo

Wakuu niwatakie jion njema majukumu mema nashukuru kwa ushirikano wenu nilipo kosea tusamehane

Maana nimefurahi kujumuika nanyi ndugu zangu tuombeane uzima tukipata kibali tujumuike kwa namna hii

Mungu awabariki ndugu zangu
Asante kaka na kwako pia
 
Auntie hope sijachelewa keki

Heri ya siku ya kuzaliwa kwako kipenzi, panya mla vitenge vyangu. Nakupenda hivyo hivyo tafanyaje sasa na ndio mzigo wangu
Muumba mbingu na nchi akujaalie kila lililo kheri mama yangu, na uzidi kuwa na hekima na busara na uwarithishe na wajukuu zangu(speaking of wajukuu mwambie na Shunie msinitanie kabisaa nawahitaji wa kutosha hivyo anzeni kazi).
Auntie mbona mm ninao wawili usiniambie unataka niongeze wengine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom