Happy birthday Roulette! Mwaaaah

shaka ondoeni....
leo ni tileeeeeeeee mpaka tinyeeeeeeeeeeeeeeeeee

kuna msosi wa ukweli....
mtakula na take away mtapata...

yaani pamoja na kuwa jana watu walikunywa mpaka wakazimika bado wamelalamika, basi acha nijikite kwenye kamati yangu ya msosi........

Yaani!

baby BADILI TABIA hujambo lakini? Maana ndo ivo bosi kavunjilia mbali maana umetuhumiwa sana kwa kunywa vnjwaji vyote peke yao kwen mnuso wa Erickb52 jana
 
Unamuonea Catherine Magige bure, hana muda na mumeo
Yuko busy anapangua tuhuma za kuuzia chit chat mafuta ya mawese.
Asprin hajiwezi, leo hata ukae mguu pande bila kitu haoni, maana ndo mwenyekiti wa mawese huyo.

Catherine, mume wangu Asprin hamtupigi ngumi, anatupiga na range, tripu za dubai na vidani vya dhahabu...
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Madam Roulette. May you live as long as you wish and love as long as you live.
 
Last edited by a moderator:
whaaaaaaaaaaaaaaat?
walaaahhhhhhhhhhhhhhhhiiiiiiiiiiii
Asprin hubby njoo uone haya mazarau ya huyu mwanamke...... tena uje kutoa tamko...

wakewenzangu cacico na Yummy njoeni mumuone huyu msimamizi,.....sijui anadhani sikio linaweza kuzidi kichwa...

na kuanzia leo tunamvua rasmi usimamiz, Asprin tunasubiria tamko loh...

Unamuonea Catherine Magige bure, hana muda na mumeo
Yuko busy anapangua tuhuma za kuuzia chit chat mafuta ya mawese.
Asprin hajiwezi, leo hata ukae mguu pande bila kitu haoni, maana ndo mwenyekiti wa mawese huyo.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe hata jana mlijadiliana kwanza kabla ya kunialika??? basi leo sijiiii....
Zawadi yangu ya besdei kwa Roulette nitaituma kwa DHL!!

Happy Birthday Roulette!!!
 
Last edited by a moderator:
Kumbe hata jana mlijadiliana kwanza kabla ya kunialika??? basi leo sijiiii....
Zawadi yangu ya besdei kwa Roulette nitaituma kwa DHL!!

Happy Birthday Roulette!!!

hahaha tatizo Rejao huku kwen party hakuna uccm wala utlp sasa ndo hapo panakuwa na ukakasi

vaa ile suti yako ya mao tse tung ile....kaunda...apo sawa tutakupa mnadala wa Cantalisia kwa muda. unamchagua nani?
 
Last edited by a moderator:
alalaalalalah!!! yan wewe Kaizer hapo umepatia kupita maelezo!! teh teh teh Asprin umeona sasa nimekabiziwa msosi!!!
 
Last edited by a moderator:
hahaha tatizo Rejao huku kwen party hakuna uccm wala utlp sasa ndo hapo panakuwa na ukakasi

vaa ile suti yako ya mao tse tung ile....kaunda...apo sawa tutakupa mnadala wa Cantalisia kwa muda. unamchagua nani?
hahahah...kwani hamna kutoa salamu za pongezi? nikipewa microphone lazima nianze na salamu yetu kwanza...
Inabidi uniandalie mabaunsa wa kunilinda!! Cantalisia hana replacement, tuliwekeana ahadi nzito sana!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer huyu Asprin hata kwenye fotografa hafai, leo akae mlangoni kulinda wazamiaji afu Bishanga aende jikoni kwenye vyombo , akina Kongosho wanalalamika jikoni wamepungukiwa sana........ The secretary ameambiwa apeleke mapulizo ukumbini akina FirstLady1 wameshindwa kuendelea na mapambo!
 
Last edited by a moderator:
Hizi salamu zinafanya kengele igonge ku mkichwa.....enewei, naona ni za dhati....from Kaizer to sheme ake Roulette.....
Sasa....tukio ni wapi....
Nimesahau itifaki...
Happy birthday Roulette, nafurahi nawe siku ya leo....ulizaliwa kumodereti!

Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…