Happy birthday Roulette! Mwaaaah

Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.
 
Last edited by a moderator:
Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.
MUUMBA WANGU JUU aninusuru na hii makitu ya huyu mume wallah! lol! thanx hubby, sina budi kukusamehe na kupokea zawadi. haya leo tena kwa Roulette usijitoe akili ukalala kwingine! natoa warning mapemaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hapy birthday roulette,hakika ukazidi kukata age,ni furaha kwetu kuwa mwenzetu unatimiza umri wa miaka kadhaa,twamshukuru mwenyeyi mungu anaetupigania na kuendelea kutupa nafasi ya kuwa pamoja,maisha marefu na yenye amani nakutakia,upendo na furaha vitawale maisha yako.kila jema nakutakia kiongozi.siku yako hii muhimu iwe na furaha.hapy birthday roulette!
 
nipo baba navumilia! mwanaume huyu sijapata kuona! amesema nikithubutu tu kumkimbia mabwepande ndio utakwenda kuniokota! so inabidi nivumilie!
 
MUUMBA WANGU JUU aninusuru na hii makitu ya huyu mume wallah! lol! thanx hubby, sina budi kukusamehe na kupokea zawadi. haya leo tena kwa Roulette usijitoe akili ukalala kwingine! natoa warning mapemaaaaaaa!

Shem cacico hakujitoa, kabisa Asprin hakujitoa akili najua tu zilitolewa na mtu mwingine na unamfahamu vizuri...think shem...think....
 
Last edited by a moderator:
Popote utakapomwona cacico mwambie namtaka razi. Namwomba msamaha. Nimemletea zawadi ya high heels toka Rome.

Paw and cacico like this.

Wakulu na wakwenga.... Posti yangu kulamba like ya Paw inathibitisha nimekomaa kichitchat kama Mugabe, hii inaweka kipingamizi cha mie kulambwa BAN kwa miaka miwili ijayo hata nikivunja kanuni na sheria za nchi na JF. Nimeiweka hapa kama ushahidi asije akabadili mawazo akainyofoa.

MODS wote popote mlipo, please note accordingly.
cacico, BADILI TABIA na Yummy my dear wives chini ya usimamizi wa Kongosho, hebu mkuje pande hii leo tufanye fivesome.
 
Last edited by a moderator:
eeeeeeeeeeeeeh????????
kamati ya vinywaji imevunjwa?
naandamana,
niliandaa juisi za kutosha...
haiwezekani

Happy birthday sweet mod! Mungu akuzawadie maisha marefu.
Ubarikiwe sana

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Aisee Baba V hapa kamati imevunjwa na sweetlady kupisha uchunguzi, atataja mpya soon ila vinywaji vipo sana na paka jimmy amehakikisha Konyagi katoni kumi hazipungui!

Wakati huu wa uchunguzi mimi najitolea kuokoa jahazi kwenye hiyo kamati. Nina uhakika hamta-regret, try me! Lol

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…