mungu mkubwa, amuweke hai ili ayaone yale aliyowaambia miaka hiyo wakiingizwa kwenye katiba mpya.Alikuwa anadai muundo wa muungano wa serikali tatu. Wakamtimua na kumuweka katika kizuizi cha ndani. Aliyoyataka ndio yale yale yaliyoletwa na rasimu ya katiba mpya. It was just the matter of time! Nahisi wakati ule aikifukuzwa atakuwa alijisemea kimoyo moyo "time will tell!" Na kweli ndio imekuwa.
si vitabu tu, kuna hata wimbo wa mchakamchaka primary tuliimba hivi : Jumbe analiaaaa......ooooo lia .....analilia nini ooooo lia..... if you can remember.Huyu mzee tulimsoma sana kwenye vitabu vya Siasa wakati nasoma shule ya msingi!