Happy Birthday PRETA


haya hayafanyiki kwenye birthday yetu ni huko huko mochi

lakini mmmmmmhhh ya kweli haya niliwahi sikia hii habari :juggle:
 
Jamani je sisi wazamiaji tunaruhusiwa?. Tupo karibu tu na maeneo ya ukumbi!.
 
Hahaha! Afu umemwona TF alivyolewa??? Kweli ungechelewa usingeambulia kitu dear,

yaan wewe umenichekesha sana na hilo dumu lako la mbege lol.

SL kuwa serious bana hebu mtume muhudumu alete angalau hako ka st anna unajua za sherehe tamu kuliko ya kununua...hahahaha TF nouma sijui kama anakumbuka yupo kwenye BD hata picha amesahau kupiga daaah
Hahahaha!!! Jamani niliamua kwenda na kreti za bia nyumbani ili watu wasiibe, msijali nitakuwa nawarudishia bia moja moja hadi ziishe
 
hehehe bora wangevunja mkono kuliko kuachia viroba kuondoka njoo eneo husika utoe tiba mbadala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…