Happy birthday Nicas Mtei!

nilivyokuja pale nikaangalia sikukuta hii kitu pokea kama zawadi yangu special kwa ajili yako
wataka nayo niitume kwa njia ya ndege ya fastjet? Au kwa njia ya ungo? Chagua nipitie mlango upi hapo kati ya hizo nilizotaja?
nicas mtei




na hii mpatie sweetlady mungu amponye aweze kulala hapa
 

Attachments

  • DECO PILLOW 2.jpeg
    7.2 KB · Views: 79
  • DECO PILLOW.jpeg
    11.1 KB · Views: 28
JAMANI FILIPO UMEFURAHI SANA ACHA NAMI NIFURAHI KUKUZIDI WEWE ONA SASA kwa kwa kwaaaaa ha ha haa haaaaaaaaaaa hi hihi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kwe kwae kwe kweeeeeeeeeeeeeeeeeeee

kwaheri filipo

siku njema baadaye kidogo nitarudi
 
Nicas Mtei heri ya kupunguza siku za kuishi suka wa kundi la msuto, countdown inazidi kusogea tu heheheheheeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
mwenzenu nimeumia leo si nilienda mwenge kununua kazawadi na viatu vya kuvaa katika function ya birthday ya NICAS MTEI yaliyonikuta si nimeibiwwa jameni nataka kutoa pochi ndani ya begi langu ili nilipe viatu nilivyovishika mkononi ile fungua begi tu pochi ssiioni yamenikuta nilibaki nimeduwaa na kupaza sauit kuwa nimeibiwa yaani NICAS furaha yote ya birthday yako ilisha nilitoka nimechanganyikiwa nisijuie la kufanya ndipo nilipoomba nauli kwa wauzaji wa viatu wakanipa 300 ya nauli yaani mpaka sasa sielewi ile tecnic walioyofanya wale wezi yaani acha tu mm YAMENIKUTA LEO
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…