figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,177
- 64,552
sijambo, habari yako?. wewe utazaliwa lini?. miaHujambo mkaka
Mh... Nicas Mtei mbona huna furaha ktk siku yako ya kuzaliwa???? Unatoa asante kama umelazimishwa khaaaaa......
thank u alot charminglady. Mungu akubariki sana. 1 love
Be blessed mdada. Ahsante sana
mambo mengi yamesababisha hadi nimeisahau tarehe kaka. Tuko pa1Nicas Mtei ungeniambia kabla ningekuandalia nepi na pampas za kutosha! Anyway nimegundua kuwa karibia mwisho wa mwaka NOV-DEC ni birthdays za members wengi humu! Happy Birthday and Happy festival season Nicas Mtei.
kizuri kula na nduguyo. Mimi na marejesho dam dam.Happy birthday mkuu! Naomba Mungu akupe akili, uwezo na maarifa hatimae uweze kupata "mke wako" ili uachane na wake za watu! Jipange upya Mkubwa!
Atajiju! Acha sie tuendelee kumwimbia bila kuchoka
huku raha tupu. Nikutafutie?HBD kijana, bado tu umefichwa na mtoto wa mzee Ndayizeye!?? rudi bongo bana!
natumia nafasi hii kukupongeza na kukutakia maisha marefu yenye furaha na neema tele. Mungu aendelee kukubariki hadi ushangae.tuimbe sote happy birthday nicas mtei. mia
A birthday is just the first day of another 365-day journey around the sun. Enjoy the trip!
WISH YOU HAPPY BIRTHDAY Nicas Mtei.
mbona umetuandikia kiyunani hata google haitambui... au likeki la kibaiolojia limegoma kutokea
Napenda sana watu wasemao ukweli! Wewe ni mmoja wao charminglady!