Happy Birthday Nguruvi3..

Happy Birthday Nguruvi3..

Yaani sina budi kuacha kazi yangu japo kwa dk 2 tu ili niseme HAPPY BIRTHDAY Nguruvi3!
Yaani wewe ni kati ya watu ninao waheshimu sana hapa JF hasa jukwaa la siasa!....yaani nakili
kutoka ndani ya moyo wangu mtu kama wewe Nguruvi3,Mwanakijiji,Mkandara,Pasco,EMT,
Mchambuzi,Nazdaz,Faiza Fox,Kiranga,Mohamed Saidi wa kk gerezani nk. nathamini sana mada
zenu na hoja zenu zilizoenda shule hasa!. to be honesty mijadala yenu humu ndani imenifungua
sana na kuniongezea uelewa ndani ya kichwa changu!....Happy birthday Nguruvi3
.................................................................................................................................................
 
Yaani sina budi kuacha kazi yangu japo kwa dk 2 tu ili niseme HAPPY BIRTHDAY Nguruvi3!
Yaani wewe ni kati ya watu ninao waheshimu sana hapa JF hasa jukwaa la siasa!....yaani nakili
kutoka ndani ya moyo wangu mtu kama wewe Nguruvi3,Mwanakijiji,Mkandara,Pasco,EMT,
Mchambuzi,Nazdaz,Faiza Fox,Kiranga,Mohamed Saidi wa kk gerezani nk. nathamini sana mada
zenu na hoja zenu zilizoenda shule hasa!. to be honesty mijadala yenu humu ndani imenifungua
sana na kuniongezea uelewa ndani ya kichwa changu!....Happy birthday Nguruvi3
Thanks Mshikachuma. JF kama ulivyosema imesheheni, ukienda MMU, Wageni n.k utapata kitu cha kufikirisha kama si kuvunja mbavu. Pamoja mkuu.
 
Tunajuana kaka, tena we hii tabia unaipenda, ya kuwahi watu mlangoni kabla hawajajua kinacho endelea. Kule jukwaa la utambuzi ndio kwako.
Ha ha ha ha ha! Nimepata malalamiko eti anakusanya zawadi halafu anampa Afrodenz anasepa nazo, mimi nipo kwenye stroller leo
 
Happy Birthday Nguruvi3.....Mungu akuzidishie na akuongoze...karibu Black Label na nyama ya kuchoma...
 
Hongera Nguruvi. . .ubarikiwe miaka mingine ya kukutosha hapa duniani.
 
Ha ha ha ha ha! Nimepata malalamiko eti anakusanya zawadi halafu anampa Afrodenz anasepa nazo, mimi nipo kwenye stroller leo

Ha ha ha haaah!! Hao haters usiwasikilize, zawadi zako ziko salama kabisa.
 
HAPPY BIRTHDAY NGURUVI3!
Mungu akujalie usherehekee hii na nyengine nyingi zijazo kwa Uzima na Furaha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom