Happy Birthday Nguruvi3..

Happy Birthday Nguruvi3..

Thanks Wandugu wote.
Siku hii naifanya mahususi kutambua mchango wa walimu katika taifa letu. Ukipita vijijini maporini utamkuata mwalimu nadhifu akifundisha watoto bila ya usimamizi. Hata kule 'inspectors' wasikoweza kufika Mwalimu anajali muda na majukumu yake.
Hawa ni watu ninaothamini sana mchango wao.
 
Sasa mwenyewe yuko wapi jamani? KAtavi kajileta hapa anataka akabdhiwe zawadi za Nguruvi3, zitakua salama kweli? Ukute hata sio birthday yake, ni utapeli wa Katavi tu...
Ha ha ha nipo, leo 'mtoto' yuko kwenye stroller, Katavi ndiye anakusanya hizo keki na zawadi. Katavi akiwa tapeli basi zitakuwa zimebaki siku 10 dunia inakwisha! ha ha ha
 
Kumbe tumepishana siku moja tu na wewe??
Hongera mie nishaanza kuzeeka "Happy Birthday"
He! list ya saggitarius inaongezeka. Happy birthday DA ingawa too little too late but better late than never
 
Ahahahaah!! Mimi sio tapeli, zawadi zote zitamfikia zipo kwenye mikono salama!
Tunajuana kaka, tena we hii tabia unaipenda, ya kuwahi watu mlangoni kabla hawajajua kinacho endelea. Kule jukwaa la utambuzi ndio kwako.
 
Tunajuana kaka, tena we hii tabia unaipenda, ya kuwahi watu mlangoni kabla hawajajua kinacho endelea. Kule jukwaa la utambuzi ndio kwako.

Niko addicted sana na lile jukwaa, sielewi kwa sababu gani!
 
Yaani sina budi kuacha kazi yangu japo kwa dk 2 tu ili niseme HAPPY BIRTHDAY Nguruvi3!
Yaani wewe ni kati ya watu ninao waheshimu sana hapa JF hasa jukwaa la siasa!....yaani nakili
kutoka ndani ya moyo wangu mtu kama wewe Nguruvi3,Mwanakijiji,Mkandara,Pasco,EMT,
Mchambuzi,Nazdaz,Faiza Fox,Kiranga,Mohamed Saidi wa kk gerezani nk. nathamini sana mada
zenu na hoja zenu zilizoenda shule hasa!. to be honesty mijadala yenu humu ndani imenifungua
sana na kuniongezea uelewa ndani ya kichwa changu!....Happy birthday Nguruvi3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom