Yaani kutumia Rafiki ktk bata ,mupe murukeSasa hayo mambo ya day ndio nini tena
Happy New age Mzigua90, May all your good wishes come true dear. Enjoy your day
Nikigeuka kaka angu watu watakimbizana kwa hii sura ya baba angu
acha kufuru dada,, hekaheka, miluzi itakuwa mingisiwezi kusahau kila kitu kipo sawa, nataka nitume hyo hela mda huu kwenye western unionSawa usisahauna hela ya Champagne. Don Periogn
mumu peke yake ndio kanikaribisha leoEeenh ushaalikwa na wangapi mkuu
Hahaha we si umeona hapo birthday girl kasema ndogo hata keki hazitoshi ,uoga vipi tenaHiyo nyingi sana inatosha acha woga we mwanaume
Woooooozeeeeer huyo ndugu yangu ukiwa shemeji itapendeza zaidi
si anamilikiwa tayari au unataka tuwe wawili?Weee mm niwe na undugu na seven mimiii...Woooooozeeeeer huyo ndugu yangu ukiwa shemeji itapendeza zaidi

Mimi,Mimi sio mchoyo kabithaaamumu peke yake ndio kanikaribisha leo


Wewe ndio unamsemea?Hakuna mmiliki