Mfyuuuu ndio mana niliogopa kuja pm kwako kila mtu unawish tu
punguza wivu weweHahaha, we si ndio dau linaanzia $ 500? Mko juu $ 100 × 2300 = ? Dah kweli bongo uchumi umekuaMm nakuja kuzichukua zifike zisifike nachukua
Karibu sanaKweli eenh nitajitahidi tena jamani nione kama nitaweza kuja
mumu njoo uchukue zawadi ya wifi yako niko hapa karibu na kwenuMimi niwe mpole mimii![]()
Hahaha alfu mimi sio muhuni sema naongea sana vitendo zeroSio punguza wivu upunguze uhuni ndio mana sakayo kasusa huku kurudi
We jishaue tyuuu..mxieww...unajiamini kwakuwa ww ni mod nikiweka tuu nakula banwewe ni fwala wekaaaa


shenzy taip kabisaaa ningeweka mmSakayo kapata mkenya huko asilete visingizio vyakeSio punguza wivu upunguze uhuni ndio mana sakayo kasusa huku kurudi

Jamani hutaki tena?Sitakiiii