Wengine kujiamini ni ktk kutafuta hizo $ tuHapana nilishakwambia unatakiwa ujiamini

We jishaue tuu...nilewe nn maji??Hivi umeelewa kweli nilichoandika au umeshalewa tayari

Na asirudi kabisasakayo hataki habari za huku kabisa
Mfyuuuu,.Hahahha nitajuaje mie sikuelewi

Unaonekana, Shunie mchoyo sanaMimi,Mimi sio mchoyo kabithaaa![]()
Si marafiki nyie au?Umeshasema bday girl mm ni shunie
Nyau wa kijivu wwWewe sio mnyimi jamani




Mimi sio mnyimi mm


ahsante sana!!!Namba yako ya M-pesa plz for gifts, hahaaaThank you dear
