Njoo uchukue sasamfyuuuuu nipe mahela
Kavurugwa huyo
Nini sasa

Napenda siku nikuone ukiwa majiNini sasa![]()
Wala sikidanganyi njoo nakupa kweliWewe mpare bahilinitakuja nitakutana na maneno
Acha uchoyoooo loohWewe ndio mm nitajinunulia heineken zangu kwa hela yangu
Hahahahaa...utaenjoy saaaanaa NevaNapenda siku nikuone ukiwa maji

We unataka ngapi?Sh ngapi utanipa eti