Happy birthday my x.

Happy birthday my x.

BALE hakuamini macho yake ndio kikombe kikubwa katika maisha yake, haijawahi tokea

Ile muvi ya goli aliloingiza BALE yale ndio magoli yake kipindi anachezea Spurs

wakomae na uefa au ligi wanaweza chukua moja wapo... ila A.madrid wako form vibaya mno
 
Mwaka wao huu labda wachemke wenyewe, ila wakomae haswa maana wale Atletico madrid nao wana uchu sana, chini ya uongozi wa baba yao Simione tena
 
Simione kumbe aliwakua chini ya Torres enzi hizo torres ndio team captain wa A.madrid haaa maisha yanaenda kasi sana
 
Umeona?!

Lakini hata goli la Barcelona la kurudi lilikuwa tamu sana, IKE CASILAS na utaalamu wake wote hata kuikaribia hajaikaribia, na kama ujuavyo Casilas hapendi kuruhusu goli, alimaindi kinoma.
 
Enzi hizo Torres captain wa A.Madrid leo Simion ndio kocha
 
Attachments

  • 1397826167794.jpg
    1397826167794.jpg
    35.6 KB · Views: 46
Umeona?!

Lakini hata goli la Barcelona la kurudi lilikuwa tamu sana, IKE CASILAS na utaalamu wake wote hata kuikaribia hajaikaribia, na kama ujuavyo Casilas hapendi kuruhusu goli, alimaindi kinoma.

Naona watu mna hamu ya ban...
 
Namjibu tu kiroho safi kwan nin.
hutakiwi kucomplicate

Jamani mbona mnapata tabu, huyu mwenzenu bado ana-mfeel x wake. Na inawezekana amemiss Birthday S.E.X alizokuwa akipewa na X wake, mwacheni tu asikitike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom