Happy birthday my dear JUDGEMENT

:tape2::tape2::tape2::tape2:
 
kwa kupenda function hata birthday nayo unakomalia keki heee! yatakushinda

una hila hashuo kama mwali wa kimakonde kujitia kunema mabegani kwa wenzie!
unamchokoa mwenyewe akikupa za ugoko unapiga kelele!
unaweza utani fanya,huwezi acha!
cc watu8
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
huyu ni mtu wangu wa karibu hivyo ananijua fika na isitoshe mm ni shemeji yake sasa wewe yatakushinda

nakutahadharisha tu since nakuonea huruma anavokunyambua ukiingia kwenye anga zake!
ikiwa kwako ni sawa ,endelea kujipa upana wa gaguo la kisomali!
 
Nashukuru kwa kunitahadhalisha best lakini si unajua tena wakati mwingine napenda kumchokoza nisikie mwandiko wake japo kidogo, asante mwaya
nakutahadharisha tu since nakuonea huruma anavokunyambua ukiingia kwenye anga zake!
ikiwa kwako ni sawa ,endelea kujipa upana wa gaguo la kisomali!
 
Kumbe leo ni BD ya mkuu?
Tunasheherekea wapi?
maana weekend nido hii!
 
acha kumtisha Judgement bana...kha!
mkuu judgement YNNAH akikukera we bonda tu.

We we we......
Unasemaje???????
Sasa mwambie Judgement ajaribu kumgusa mdogo wangu YNNAH, tuone kama hata Panya atabaki ndani ya Nyumba yao.
Hatujamfukuza kwetu.........chumba chake bado kipo.
Kwanza mdogo wangu mwenyewe namshangaa.....sijui kazuzuka na nini.
Kama Kitanda home alikuwa nacho,
Godoro alikuwa nalo,
Chakula alikuwa anakula,
Gari alikuwa anaendesha,
Nguo alikuwa anavaa,.............. Sijui,sijui kazuzuka na nini.
Ahhhhhhhh!!!!!!!
Bishanga, usinipandishe hasira wewe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…