Happy birthday my dear JUDGEMENT

Mkuu Judgment happy birthday kaka mkubwa. Nakutakia kila la heri katika maisha yako yakawe ya heri na baraka na ukafanikiwe katika kila utakalofanya. Uwe na maisha marefu na yenye furaha. Once again Happy Birthday Brother Judgment.
 
Last edited by a moderator:

Swaiba Mr Rocky! Siku zote hua nakulist u'miongoni mwa wiseman either advicer ! Please maintain that status to be sustainable.
Mamndenyi keshaamka? Kama jibu ndiyo sukumia yeye salamu.
 
Dah mkuu Judgment naweza sema nimeishiwa maneno. Sina la kuongeza hapo mkuu. Asante sana na nashukuru sana kwa compliment zako na nitaendeleza hilo mkuu. Asante sana.
Ashaamka hapa aise ananishangaa nachat na nani ndo nikamwambia ni wewe hakuwa na pingamizi.
Ubarikiwe mkuu Judgment.
 
Last edited by a moderator:

Thanks once again!
Na kwa ujumla wenu as a couple niwatakie wik end mwororo.
 
Last edited by a moderator:
happy birthday judgement!
ila umenioneamo wapi Mr Rocky .namtafuta sana i see!patia yeye salamu kuwa amemisika!
 
Last edited by a moderator:
happy birthday judgement!
ila umenioneamo wapi Mr Rocky .namtafuta sana i see!patia yeye salamu kuwa amemisika!

snowhite mambo zako?
Thanks for all! Afu currently days mbona umekua too scarcity? Past days ulikua ukishusha mapost matam'matam kila mara, sasa umekua mpole why ?
Aidha mbona umeniulizia mtu mmoja tu? Mr Rocky?
Nipe umuhimu kwa kiaje awe yeye tu?
 
Huna habari?
:lalala:?ngoja aje Mr Rocky mwenyewe akwambie!mi naona aibu bana!:tape2:
nipo ndugu yangu ,majukumu tu mengi !
au na mi nakuwa chui mzee? kama Mtambuziiiiiiiiii:A S 39:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…