Happy Birthday My Dear Brother GARMII......

Happy Birthday My Dear Brother GARMII......

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Posts
13,080
Reaction score
4,275
Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia Kaka yangu mpendwa (GARMII) Heri na Baraka kwa siku yako ya kuzaliwa 28/06.

Mungu akutangulie katika maisha yako na akuongoze na kukuongezea hekima na busara.

Happy Birthday (GARMII) !!!!!!!!!!!!!!!

Dada yako Dena Amsi
 
Ni kaka yako kivipi huyu?
Naomba ufafanuzi wa ziada!
Vinginevyo namtakia heri katika siku hii kuu na muhimu kwake.
 
Ni kaka yako kivipi huyu?
Naomba ufafanuzi wa ziada!
Vinginevyo namtakia heri katika siku hii kuu na muhimu kwake.

Hiyo bluu ndo kutakiana heri huko?? PJ hebu acha uchokozi asubuhi subuhi bana kha!!!
 
Hiyo bluu ndo kutakiana heri huko?? PJ hebu acha uchokozi asubuhi subuhi bana kha!!!
Sa si mseme jioni mnatuachaje?... kama ni dongobesh, Katesh, Bashnet au Madunga tuanze kusogea taratibu!
 
Kwa heshima na taadhima napenda kukutakia Kaka yangu mpendwa (GARMII) Heri na Baraka kwa siku yako ya kuzaliwa 28/06.Mungu akutangulie katika maisha yako na akuongoze na kukuongezea hekima na busara.Happy Birthday (GARMII) !!!!!!!!!!!!!!!Dada yako Dena Amsi
thnx my sister,mungu akulinde na mabaya na akupe maisha marefu yenye furaha! Naas.
 
Sa si mseme jioni mnatuachaje?... kama ni dongobesh, Katesh, Bashnet au Madunga tuanze kusogea taratibu!
pk vp mkubwa?mbona unambana sn my sister aise khaa! Ngoja nikamwambie kumba wangu,subiri usikimbie!
 
jamani dadangu na shem mmbona bado hamjafika ?mambo yanakaribia kuanza!
 
Back
Top Bottom