Happy Birthday Mwita25

Hongera kwa sikukuu yako ya kuzaliwa ingawa nimechelewa kukupongeza ,Mungu aendelee kukupa yote yaliyo mema

Kwa ulinganifu tu;

Mwita25 anajiita the magnetic jf superstar,

Faiza Foxy anajiita JF Celebrity,

Mmoja anadai ameoa na mwingine anadai ameolewa. Na wote wako mlengo mmoja na wanapokezana kushambulia jukwaa usiku namchana.

Ninaona dalili za wazi kwamba hawa watu ni mke na mme, if they are telling the truth!!

I wish it was the deathday!
A guy of only 33yrs, but a behave like 80yrs old! I wish you hell

I wish it was the deathday!

A guy of only 33yrs, but a behave like 80yrs old! I wish you hell

Hakika hutasherehekea X-mass ya mwaka huu kabla ya kifo chako.

Hakika hutasherehekea X-mass ya mwaka huu kabla ya kifo chako.

ungemwambia hakika hutamaliza siku bila BAN hapa JF ningekuelewa maana ni kitu kinachoendeshwa kibinadam!
na je akifikisha huo mda na kupitiliza utafanyaje? unamawasiliano na Mungu? kweli wee kiazi, looh!

Tatizo lake anafikiri Mungu nae ni sisiem

Hongera sana mkuu ingawa nimechelewa sana lakini tupo pamoja mkuu

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…