Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Mkuu venue ni wapi? Je ruksa kuja na kisambwada( ngai,kidenish,kishtobe,mwasi kitoko,Mwana mrito, kipapri,demu,manzi,bibi, hawara,kidumu)?
Nilitamani tufanyie Malimbe, ila hili jukumu la uandaaji wamelibeba Dada zangu Hajar na ukhuty wakishirikiana na Davet.

Ngoja tuwasubiri watatuchukua hadi ukumbini, tuwe na subira hapa hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom