Malaika AD
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 496
- 316
mambo vipi?
Wanajamvi wapendwa tarehe na mwez siku ya Leo mwakundu aliletwa duniani.
Mungu akuongezee hekima na busara katika maisha yako
Akupe maisha marefu yenye baraka
Karibuni wote team bazaz ni team rafiki kusherekea Tized Kaizer Asprin Mndengereko Valentina Khantwe na mumeo Ntuzu Madam B
Happy bday my special friend mwekundu
Powa aiseeeh.., mzima???
niko poa kabisa, jamaa yako anakisalimia..
Hahahaaaaah.....nawasiwasi ndo wewe apo(natania), msalimie mwambie nammiss sana.
ha ha ha ha...
siyo mimi!!
jamaa kanizidi urefu!
Hahahahaaaha.....mwambie aje mwenyewe asijifiche nataka nimjue humu ndani.
yupo sana tu!!
Happy birthday mkuu wa TeamB..
Wish you miaka mingi zaidi ya furaha na mafanikio..
Thanks much,umeadinika hembu wasalimie huko...Dubai eeh?