Happy birthday @mwekundu

Happy birthday @mwekundu

Mkuu hingera sana kwa kuiona siku yako special.... Ni maombi yetu mwenyezi Mungu azidi kukufanikisha katika nyanja zoote kulingana na kusudi lake. Cheers bro.

Tzee!!!
 
Wife nashukuru kwa kutangulia..nimeshazifikisha nyumbani naja sasa.

Happy birthday bazazi tuliyekuachia mikoba. Ni kazi ngumu lakini lazima ifanywe....

Enjoy the day bro....blessings!!!

ha ha ha ,hii kazi hua atustaafu LOL ,umewezaje kum convince mwallu ?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hingera sana kwa kuiona siku yako special.... Ni maombi yetu mwenyezi Mungu azidi kukufanikisha katika nyanja zoote kulingana na kusudi lake. Cheers bro.

Tzee!!!
pitia homie uchukue kipande cha keki yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom