Jamani... Thanks...ngoja niongee English kidogo am overwhelmed by your wishes...Najisikia raha......!!
Wako kule kati... Nadhani
Kwa post hii tu Rocky atajinyonga ataacha ule mpango wake wa kuwaandaa michepuko kuja kupinga ndoa yetu kanisani
Waendelee kuchelewa nijilie huu utamu mwenyewe lol
Na kweli best mgawaji mwenyewe anaweza kujilia yoote
Em tuambie sehem gani ya mwili wako inayojiskia raahaa..😎
Mie naomba vipande viwili changu na cha mume wangu
atanioa mimi na sherehe tutaifanyia kule jukwaa la mafichoni
Hembu muite aje hapa tumuone
Kumbe ni bachela?